Tetesi za Usajili Yanga leo 21 June 2018

Tetesi za Usajili Yanga leo 21 June 2018

0

Tetesi za Usajili Yanga leo 21 June 2018

Katika Timu ambazo zimekuwa wachezaji wengi wanatajwa kutua basi Yanga ni mojawapo lakini hii inatokana na kutofanya vizuri msimu huu wengi wakiamini ilitokana na Yanga kutokuwa na Kikosi imara huku balaa la majeruhi likiwaandama.

Yanga imekuwa ikihusishwa na wachezaji wengi ndani na Nje ya Nchi lakini mpaka sasa hakuna mchezaji hata mmoja ambaye ameonekana au kuthibitishwa kusajiliwa na Yanga.

ISHU YA JUMA NYOSSO KUTUA YANGA

Mmoja ya wachezaji ambao wametajwa pia katika usajili wa Yanga msomaji wa Kwataunit.co.ke  ni beki wa kati wa kagera Sugar zamani pia akicheza Simba na Mbeya City Juma Nyosso.

Inaelezwa na Vyanzo vya karibu vya Mchezaji huyo kuwa ishu ya yeye kutua Yanga ni story tu za Vijiweni na Juma Nyosso anajiandaa kuongeza mkataba wa mwaka mmoja Kagera Sugar mara baada ya kukubaliana na Viongozi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY