Tusker Fc yamsaini Faraji Ominde wa Chemelil Sugar

Tusker Fc yamsaini Faraji Ominde wa Chemelil Sugar

0

Tusker Fc yamsaini Faraji Ominde wa Chemelil Sugar

Timu ya Tusker Fc imefanikiwa Kupata saini ya Mchezaji Faraji Ominde ambaye alikuwa anacheza katika klabu ya Chemelil Sugar kwa Kipindi cha Mwaka mmoja na Nusu.

Ominde amesaini Mkataba wa Miaka 3 kucheza katika klabu ya Tusker Fc ambao ni Mabingwa wa zamani nchini kenya wanaofanya usajili kwasasa kuhakikisha Kikosi chao kinakuwa na Nguvu.

Baada ya Kusaini Tusker Ominde alisema

” Nimefurahi kusajiliwa na Tusker Fc kwani ni timu niliyokuwa napenda siku moja kucheza “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY