Ujumbe wa Davido baada ya Ahmed Mussa kutupia 2 Nigeria

Ujumbe wa Davido baada ya Ahmed Mussa kutupia 2 Nigeria

0

Ujumbe wa Davido baada ya Ahmed Mussa kutupia 2 Nigeria

Baada ya Kuharibu mechi ya Kwanza Nigeria kwa Kufungwa na Croatia leo Nigeria wamefanikiwa Kupata Ushindi mbele ya Iceland huku mabao yote ya Nigeria yakifungwa na Ahmed Musa.

Baada ya Meci hiyo nyota wa Muziki kutoka nchini Nigeria Davido ameandika Ujumbe wa Kusema kuwa Ahmed Musa ni Mtu hatari sana.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY