Ukimuuliza Ali Ali nani anafaa kuwa mchezaji Bora VPL atamtaja huyu

Ukimuuliza Ali Ali nani anafaa kuwa mchezaji Bora VPL atamtaja huyu

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Ukimuuliza Ali Ali nani anafaa kuwa mchezaji Bora VPL atamtaja huyu

Kuelekea usiku wa Tuzo za wachezaji, makocha, Timu  na waamuzi ligi kuu soka ya Tanzania bara VPL msimu wa 2017/2018 Mlinzi kisiki wa Stand United Ali Ali amemtaja mchezaji wake bora VPL katika wale wanaoshindania tuzo Hiyo.

Katika tuzo hiyo wanashondania John Bocco, Emmanuel Okwi na Erasto Nyoni lakini Ali Ali Amemtaja John Bocco kama mchezaji anayestahili kuwa mchezaji bora VPL.

Ali Ali amesema sababu kubwa kuwa ni kujituma kwa Bocco anapokuwa uwanjani lakini pia Kujitambua.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY