Ulisikia ishu ya Kichuya kuongeza Mkataba Simba? Mwenyewe asema Haya

Ulisikia ishu ya Kichuya kuongeza Mkataba Simba? Mwenyewe asema Haya

0

Ulisikia ishu ya Kichuya kuongeza Mkataba Simba? Mwenyewe asema Haya

Jana moja ya Taarifa zilizokuwa zimeenea kwenye mitandao ya Kijamii ilikuwa ni taarifa za Winga Machachari wa klabu ya Simba Shiza Kichuya Kuongeza mkataba wa miaka mitatu kuitumikia Simba.

Taarifa hizo  msomaji wa Kwataunit zilizidi kukoleza kuwa amesaini na baada ya Kusaini amekubali kuungana na timu kwenda nchini Kenya kwenye Sportpesa Super Cup mashindano yanayoanza leo.

Lakini Kichuya amekanusha Taarifa hiyo na Kusema alichofanya ni kukutana na Viongozi wa Simba na Kuzungumza nao amesema anaenda kenya kama mchezaji huru lakini bado hajaongeza mkataba na kila kitu kusaini au kutosaini kutaeleweka baada ya Sportpesa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY