USAJILI : Azam Fc hawataki mchezo kabisa msimu Huu

USAJILI : Azam Fc hawataki mchezo kabisa msimu Huu

0

USAJILI : Azam Fc hawataki mchezo kabisa msimu Huu

Klabu ya Azam Fc ama kwa hakika mwaka huu nao wamekuja Kivingine mara baada ya kusajili wachezaji kadhaa kama Donald Ngoma, Kutinyu, Nicolas Wadada kumrejesha Kikosini  Mudathir Yahya sasa wameamua kuzidi Kujiimarisha kwa wachezaji waliokuwepo.

Azam Fc leo wametangaza kuwaongezea mikataba wachezaji wake wawili waandamizi mikataba ya kuendelea kuitumikia Azam Fc.

Wachezaji hao ni Aboubakary Salum Sure Boy ambaye ameongeza Mkataba wa Miaka 2 kuitumikia Azam Fc.

Mwingine ni Mzanzibar Beki kisiki Aggrey Moris ambaye naye ataendelea kusalia Azam Fc mpaka 2020 baada ya Kuongeza  mkataba wa Miaka 2 ndani ya Azam Fc.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY