USAJILI : Huyu naye ameshatua Nchini Tanzania

USAJILI : Huyu naye ameshatua Nchini Tanzania

0

USAJILI : Huyu naye ameshatua Nchini Tanzania

Beki Mganda Nicolas Wadada leo ametua nchini Tanzania akitokea kwao nchini Uganda tayari kwa kuungana na Kikosi cha Azam Fc ambacho kinajiandaa na michuano ya Kagame.

Nicolas Wadada ni Moja kati ya wachezaji waliosajiliwa na Azam Fc wengine ni Tafadzwa Kutinyu, Ditraim Nchimbi, Donald Ngoma, na Mudathir Yahya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY