Vita ya Usajili Yanga na Singida kwa nyota huyu wa Gor Mahia

Vita ya Usajili Yanga na Singida kwa nyota huyu wa Gor Mahia

0

Vita ya Usajili Yanga na Singida kwa nyota huyu wa Gor Mahia

Mabingwa wa Kihistoria Nchini Tanzania klabu ya Yanga imeingia Katika VITA ya Usajili na Singida United kwa nyota wa Gor Mahia Francis Kahata.

Yanga ndiyo wanaotajwa kuwa wa Kwanza kumwania nyota Huyo ambaye ni kiungo machachari akicheza pembeni, Lakini dili la Yanga huenda Likatibuliwa na Singida United ambao nao wameonyesha kumwitaji nyota Huyo mwenye uwezo mkubwa wa kuchezea mpira na kasi kubwa anapokuwa uwanjani.

Taarifa za kuaminika  msomaji wa Kwataunit.co.ke zinadai Kocha Morocco wa Singida United ndiye aliyependekeza jina la Francis Kahata kwa Viongozi kutua Singida United

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY