Wabaya wa Yanga wabigwa bao 6 Kenya

Wabaya wa Yanga wabigwa bao 6 Kenya

0

Wabaya wa Yanga wabigwa bao 6 Kenya

Timu ya Kakamega Homeboyz ambao waliifanyia Vibaya Yanga kwa Kuifunga bao 3 kwa 1 katika michuano ya Sportpesa Super Cup iliyofanyika Nchini Kenya imejikuta ikionja Joto ya Jiwe.

Kakamega Homeboyz wamejikuta wakichezea Kichapo cha Bila Huruma kutoka kwa Nakumatt baada ya Kufungwa jumla ya bao 6 kwa 1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Kenya.

Magoli ya Nakumatt  msomaji wa Kwataunit.co.ke yalifungwa Na Boniface, Thairu, Juma mabao 2, Indeche na Adwar

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY