Wanaotajwa usajili Simba na Yanga watisha kinoma Kenya

Wanaotajwa usajili Simba na Yanga watisha kinoma Kenya

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Wanaotajwa usajili Simba na Yanga watisha kinoma Kenya

Tanzania Inataka Kuhamia Kenya kwaajili ya usajili wa msimu Ujao ndiyo kauli unayoweza Kusema kwani Vilabu vya Singida United, Simba na Yanga vimekuwa vikitajwa Kuwafukuzia Nyota wa timu za Kenya.

Wachezaji wanaotajwa sana ni Meddie Kagere ambaye anatajwa Yanga na Yanga wamethibitisha kuwa katika MAZUNGUMZO naye, Francis Kahata ambaye mpaka sasa anatajwa Simba, Yanga na Singida United.

Lakini wachezaji hao kuonyesha kuwa wao siyo wa mchezo mchezo katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Kenya Maarufu kama Sportpesa Premier League jana wametisha Kinoma.

Wakicheza katika Klabu yao ya Gor Mahia au waite K’Ogalo msomaji wa Kwataunit.co.ke waliisaidia timu yao kupata Ushindi wa bao 4 kwa 0 huku Meddie Kagere akifunga bao moja na Francis Kahata naye akifunga bao moja.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY