Yanga waeleza sababu ya Kukosekana Chirwa,Yondani,Dante na Juma Abdul Sportpesa

Yanga waeleza sababu ya Kukosekana Chirwa,Yondani,Dante na Juma Abdul Sportpesa

0

Yanga waeleza sababu ya Kukosekana Chirwa,Yondani,Dante na Juma Abdul Sportpesa

Baada ya kuwepo kwa tetesi nyingi kuhusiana na Baadhi ya wachezaji muhimu kukosekana katika Kikosi cha Yanga kilichoenda mjini Nakuru Kenya kwaajili ya Michuano ya Sportpesa Super Cup.

Wachezaji hao ni Chirwa, Juma Abdul, Vincent ANDREW na Kelvin Yondani “Cotton Juice”

Tetesi za usajili Yanga 31 May 2018

Mwenyekiti wa kamati ya Usajili klabu ya Yanga Hussein Nyika amesema wachezaji hao wanamatatizo tofauti Tofauti.

Chirwa bado anamaumivu ya Mguu, Juma Abdul aliumia kwenye mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar na Mpaka leo bado anauguza Majeraha yake, Dante naye bado anamaumivu ya Mguu wake.

Huku Kelvin Yondani msomaji wa Kwataunit akielezwa kuendelea Vizuri na Majeraha yake ya Goti lakini hana mazoezi hivyo ndiyo maana hajajumuishwa katika Kikosi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY