Yanga wasema hawakuwa na Mpango na Kagere kisa hiki hapa

Yanga wasema hawakuwa na Mpango na Kagere kisa hiki hapa

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Yanga wasema hawakuwa na Mpango na Kagere kisa hiki hapa

Siku moja baada ya Simba kufanikiwa kumsajili mchezaji Meddie Kagere kutoka Gor Mahia kwa mkataba wa Miaka 2 klabu ya Yanga wamefunguka kuwa hawakuwa na mpango wa Kumsajili KAGERE.

Bossou aiita Yanga

Akizungumza na kipindi cha Spoti Leo cha Radio One ya Tanzania Hussin Nyika amefunguka kuwa ni kweli Kagere anauwezo mkubwa na wanauheshimu sana lakini wao hawakuwa na Mpango wa Kusajili mchezaji ambaye atakaa muda mfupi Yanga na Kuondoka.

” Kagere ni bonge ya Mchezaji lakini hakuwa kwenye mipango yetu ujue wenzetu wanasajili mchezaji ambaye atatumika kwa miezi mitatu lakini sisi tunaangalia Future mchezaji ambaye anaweza kutumika hata kwa miaka minne “

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY