Alichoandika Edo Kumwembe kuhusu uwezo wa Shaban Chilunda

Alichoandika Edo Kumwembe kuhusu uwezo wa Shaban Chilunda

0

Alichoandika Edo Kumwembe kuhusu uwezo wa Shaban Chilunda

Ukizungumzia michuano ya Kagame Cup 2018 hakika huwezi kulisahau jina la mchezaji Shaban Iddi Chilunda ambaye tayari ameweka rekodi katika michuano ya Mwaka huu na mashindano yote kiujumla toka miaka ya 1970 huko.

Shaban Iddi Chilunda anaondoka na rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga mabao mengi zaidi katika michuano ya Kagame toka Kuanzishwa.

Mchambuzi maarufu wa soka Nchini Tanzania Edo Kumwembe kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya mechi kati ya Simba na Azam uliomalizika kwa Azam kushinda 2 kwa 1 na Chilunda kufunga bao 1 kati ya mabao 2 Edo ameandika Ujumbe Huu.

“Shaban Idd Chilunda ‘The next Mbwana Samatta’…huyu bwana mdogo is so deadly… Analijua lango..he is top quality finisher..hongereni Azam anyway! “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY