Alichoandika Meddie Kagere baada ya Simba kutambulisha Kocha Mpya

Alichoandika Meddie Kagere baada ya Simba kutambulisha Kocha Mpya

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Alichoandika Meddie Kagere baada ya Simba kutambulisha Kocha Mpya

Simba walitumia Siku ya jana kumtambulisha kocha wao Mpya Raia wa Ubelgiji Patrick Aussems kwa kumtambulisha mbele ya Waandishi wa Habari huku zoezi zima likiongozwa na Afisa habari wa Simba Haji Manara.

Kocha huyo ataungana na timu katika kambi ambayo itafanyika nchini Uturuki Simba Ikijiandaa na Msimu wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara 2018/2019.

Baada ya Kocha huyo Kutambulishwa Mshambuliaji mpya wa Simba Meddie Kagere kupitia Ukurasa wake wa Instagram aliandika Ujumbe huu wa Kumkaribisha kocha Huyo Mpya kwa Kusema

” Welcome @simbasctanzania BOSS PATRICK AUSSEMS we happy to see you 🦁🐾 “

Akimaanisha

” Karibu Simba kocha mkuu Patrick Aussems tunafuraha kukuona “

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY