Alichokisema Haji Manara baada ya tetesi za Yondani kutua Simba

Alichokisema Haji Manara baada ya tetesi za Yondani kutua Simba

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Alichokisema Haji Manara baada ya tetesi za Yondani kutua Simba

Baada ya uwepo wa tetesi nyingi za Beki Kisiki wa Yanga Kelvin Yondani zikimhusisha mchezaji huyo Kutua Simba.

Simba Kupitia kwa Afisa habari wake Haji manara ambaye ametumia ukurasa wake Instagram Kuongelea Ishu hiyo iliyozuka leo.

Ujumbe wa haji manara huu hapo chini.

” Shida yangu mm ni moja tu…jambo linazushwa halafu napigiwa eti nithibitishe!! Kawaulizeni waliotoa taarifa hii..Simba haipo na mm ndio spokesman wa klabu “

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY