Apelekwa kwa Mkopo Mtibwa akitokea Simba

Apelekwa kwa Mkopo Mtibwa akitokea Simba

0

Apelekwa kwa Mkopo Mtibwa akitokea Simba

Klabu ya Simba ambao ndiyo mabingwa wa soka Nchini Tanzania imemtoa mchezaji wake Ally Shomari kwenda Mtibwa kwa Mkopo.

Ally Shomari ni kama amerejea Nyumbani kwani msimu uliopita alijiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar.

Ally Shomari hakuwa na nafasi ya Kucheza ndani ya Simba kutokana na ushindani wa Namba uliopo ndani ya Simba hivyo Simba imeamua kumtoa kwa Mkopo ili akaboreshe kiwango chake kwa Kupata nafasi ya Kucheza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY