Baada ya Mbenin kusepa Yanga yaleta Straika aliyewahipita Bayern

Baada ya Mbenin kusepa Yanga yaleta Straika aliyewahipita Bayern

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Baada ya Mbenin kusepa Yanga yaleta Straika aliyewahipita Bayern

Mara baada ya Straika aliyekuwa akitajwa zaidi Yanga Marcel Koupko kuota Mbawa na kuamua kuondoka zake kurudi kwao nchini Mbenin inaelezwa Yanga wameleta mchezaji mwingine.

Mchezaji ambaye ameletwa na Yanga kwaajili ya Usajili msomaji wa Kwataunit.co.ke ni Emeka Emerun ambaye katika Historia yake ya Soka amewahi kupita katika timu za Vijana za Bayen Munich 2010 – 2011.

Lakini pia akiwahi kupita katika timu ya Esparance mwaka 2013 akicheza kwa Mkopo, Lakini kwasasa anacheza katika timu ya Radnički Pirot ya Huko nchini Serbia.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY