Baada ya Taarifa zisizo rasmi Simba kucheza na AFC Leopards uongozi wafunguka...

Baada ya Taarifa zisizo rasmi Simba kucheza na AFC Leopards uongozi wafunguka haya

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Baada ya Taarifa zisizo rasmi Simba kucheza na AFC Leopards uongozi wafunguka haya

Taarifa nyingi wikiendi Iliyopita na leo Jumatatu zilienea na zinaendelea kuenea kuwa Simba kuelekea Simba Day 8.8.2018 itacheza na AFC Leopards kutoka Kenya Katika kusherehesha Siku ya Simba “Simba Day”

Akiongea leo Afisa habari wa Simba Haji Manara ameweka wazi kuwa Taarifa zinazoenea za Kucheza na AFC Leopards siyo za Kweli za Kweli zitatolewa jUmatano Hii.

” Mpaka sasahivi bado tunakamilisha mazungumzo na timu tofauti tofauti nafikiri taarifa kamili nitazitoa jumatano kwenye Press Conference Hizo taarifa nyingine zinazoenea kwenye mitandao siyo za Simba “

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY