Boniface Mkwasa Ajiuzulu Yanga, sababu hizi hapa

Boniface Mkwasa Ajiuzulu Yanga, sababu hizi hapa

0

Boniface Mkwasa Ajiuzulu Yanga, sababu hizi hapa

Inaelezwa kuwa Katibu mkuu wa klabu ya yanga Boniface Mkwasa ameandika barua ya Kujiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya Klabu hiyo.

Sababu kubwa inayotajwa ni hali yake kiafya ambapo ameshauriwa na madaktari kupata muda mwingi wa Kupumzika hivyo ameamua kuandika barua ya Kuomba Kujiuzulu nafasi hiyo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY