Cannavaro si mchezaji tena wa Yanga akabidhiwa Jukumu hili

Cannavaro si mchezaji tena wa Yanga akabidhiwa Jukumu hili

0

Cannavaro si mchezaji tena wa Yanga akabidhiwa Jukumu hili

Toka asubuhi ya Leo Yanga moja kati ya Taarifa iliyokuwa ikiulizwa na washabiki na wapenzi wa Yanga ilikuwa ni kutoonekana kwa Jina la Nadir Haroub Cannavaro katika Kikosi cha Yanga msimu wa 2018/2019.

Ukweli ni kwamba Nadir Haroub Cannavaro amekabidhiwa jukumu jingine ndani ya Yanga na siyo mchezaji tena.

Cannavaro amechaguliwa kuwa meneja wa Yanga na aliyekuwa meneja wa Yanga Hafidh Saleh kwasasa anakuwa Coordintor.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY