Dau Nono Alilowekewa Hassan Kessy Kutimkia Zambia.

Dau Nono Alilowekewa Hassan Kessy Kutimkia Zambia.

0

Dau Nono Alilowekewa Hassan Kessy Kutimkia Zambia.

Klabu ya Nkana Fc inayoshiriki ligi kuu ya Zambia imetoa dau nono ili kuinasa saini ya beki kisiki wa klabu ya Yanga, Hassan Ramadhan Kessy.

Kessy amewekewa mezani ofa ya Million 70 ili aende kukipiga kunako ligi ya Zambia.

Usajili wa Kwanza wa Manji Yanga huu Hapa

Beki huyo wa zamani wa klabu za Mtibwa Sugar na Simba anaungojea uongozi wa klabu yake ya sasa kukubali ofa hiyo au wataweza kuendelea kumbakiza klabuni ambapo mpaka sasa bado klabu hiyo haijatoa majibu yoyote.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY