Fahamu: Majeruhi Simba kuelekea mchezo dhidi ya JKU Kesho

Fahamu: Majeruhi Simba kuelekea mchezo dhidi ya JKU Kesho

0

Fahamu: Majeruhi Simba kuelekea mchezo dhidi ya JKU Kesho

Kesho Jumatano kutakuwa na pambano la Nusu Fainali ya Kagame Cup kati ya Simba na JKU kutoka Zanzibar mechi ikichezwa uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

Kuelekea pambano hilo Simba itakosa huduma ya Mshambuliaji wake Adam Salamba ambaye aliumia kwenye mchezo kati ya Simba na AS Ports ya Djiboti.

Imeelezwa na Daktri wa Simba Yassin Gembe kuwa Adam Salamba ameumia kwa Kuchanika Nyama hivyo ataukosa mchezo huo wa Kesho.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY