Gor Mahia nao kuwakosa nyota hawa wakiwavaa Yanga leo

Gor Mahia nao kuwakosa nyota hawa wakiwavaa Yanga leo

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Gor Mahia nao kuwakosa nyota hawa wakiwavaa Yanga leo

Wakati Yanga wakiwa wanashuka Dimbani Kasarani leo kuvaana na Gor Mahia ya Kenya wakiwakosa baadhi ya Nyota kama Kelvin Yondani na Hassan Kessy na Nyota wake waliosajiliwa Ngassa, Heritier Makambo na Deus Kaseke hali upande wa Gor Mahia nako ni kama Yanga kwa baadhi ya Nyota wake.

Gor Mahia mabingwa wa soka Nchini Kenya wao watawakosa nyota wake kama George Odhiambo “Blackberry” ambaye ni majeruhi.

Na Pia itakosa Huduma ya mchezaji wake Ernest Wendo ambaye aliumia kwenye michuano ya Kagame 2018 kwenye mchezo kati ya Gor Mahia na JKU Wachezaji hao wataungana na Joash Onyango ambaye Anakadi 2 za Njano.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY