Habari Mpya kutoka Simba huko Uturuki leo 29.7.2018

Habari Mpya kutoka Simba huko Uturuki leo 29.7.2018

0

Habari Mpya kutoka Simba huko Uturuki leo 29.7.2018

Mara baada ya kufanya mazoezi takribani wiki moja ikiwa na wachezaji wake karibu wote kasoro Mchezaji Haruna Niyonzima ambaye bado yupo kwao Nchini Rwanda kwa matatizo ya Kifamilia klabu ya Simba inatarajiwa kuwa na mchezo wa Kirafiki.

Klabu ya Simba msomaji wa Kwataunit.co.ke itacheza mchezo wa Kirafiki siku ya Jumatano ya wiki inayoanza jumatatu ya Kesho dhidi ya Mouloudia Club of Oujda .

Mouloudia Club of Oujda Ni klabu ya nchini Morocco na mchezo huo utafanyika nchini Uturuki ambapo timu zote (Simba na Mouloudia Club of Oujda ) zipo kambini huko Uturuki.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY