Habari mpya kutoka Simba jioni hii 26.7.2018

Habari mpya kutoka Simba jioni hii 26.7.2018

0

Habari mpya kutoka Simba jioni hii 26.7.2018

Mabingwa wa soka nchini Tanzania klabu ya Simba ambayo ipo kwenye kambi ya Kujiandaa na msimu wa Ligi Kuu nchini Uturuki imezidi kunoga baada ya wachezaji wengine kuongezeka katika kikosi kilichopo Uturuki.

Wachezaji ambao wameongezeka katika mazoezi ya Kikosi cha Simba kinachofanya mazoezi katika viwanja vya Reen Park & Resorts mjini Istanbul ni Hassan Dilunga, Erasto Nyoni, Meddie Kagere na Said Hamis Ndemla.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY