Habari mpya Kutoka Simba Mchana huu 24.7.2018

Habari mpya Kutoka Simba Mchana huu 24.7.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Habari mpya Kutoka Simba Mchana huu 24.7.2018

Baada ya Kukutana na Waandishi wa Habari Rais wa Shirikisho la soka Nchini Wallace Karia amezungumza jambo kuhusu uchaguzi wa Klabu ya Simba.

Wallace Karia ameitaka klabu ya Simba kufanya uchaguzi ndani ya siku 75 kutoka Sasa ikiwa Taarifa ikiwa imetoka kwenye kamati ya uchaguzi ya TFF.

Katika hatua nyingine klabu ya Simba inaendelea na mazoezi ya Kujiandaa na msimu wa Ligi Kuu nchini Uturuki ambapo imeweka kambi ikiwa chini ya Kocha Mkuu Patrick Aussems na Kocha Msaidizi Masoud Djuma.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY