Habari Mpya Kutoka Simba Mchana Huu Ni Kuhusu Kocha Mbelgji.

Habari Mpya Kutoka Simba Mchana Huu Ni Kuhusu Kocha Mbelgji.

0

Habari Mpya Kutoka Simba Mchana Huu Ni Kuhusu Kocha Mbelgji.

Uongozi wa klabu ya Simba sc umemtambulisha rasmi kocha mkuu mpya wa timu hiyo Mbelgiji Patrick Uassems ambaye wameingia naye mkataba wa mwaka mmoja.

Akimtamburisha kocha huyo msemaji wa klabu hiyo Haji Manara amesema wameingia mkataba na kocha huyo wakiwa na matumaini makubwa ya kutimiza malengo yao ikiwemo kufanya vizuri kimataifa.

Kwa upande wake kocha Patrick ambaye anachukua mikoba ya mfaransa Pierre Lechantre amesema ametua Simba akiwa na malengo kuifikisha mbali zaidi Kimataifa akijivunia uzoefu wake wa kufundisha nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Benin.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY