Habari mpya Kutoka Yanga Hii hapa

Habari mpya Kutoka Yanga Hii hapa

0

Habari mpya Kutoka Yanga Hii hapa

Meneja wa Timu ya Yanga Hafidh Saleh amefunguka Juu ya Mazoezi yanayoendelea Na Mchujo kwa Wachezaji wanaoendelea na Majaribio ili kupata nafasi ya Usajili.

Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amefunguka kuwa mazoezi yanaendelea vizuri na Kuhusu wachezaji wanaofanya majaribio kwasasa wamebakia wachezaji 6 tu ambao nao wanaendelea kuangaliwa na Mwalimu Mwinyi Zahera.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY