Habari mpya Kutoka Yanga mchana Huu

Habari mpya Kutoka Yanga mchana Huu

0

Habari mpya Kutoka Yanga mchana Huu

Klabu ya Yanga inayojiandaa na mchezo kati yake na Gor Mahia kombe la Shirikisho barani Afrika inatarajia Kwenda Nchini Kenya.

Yanga itaondoka Jumatatu July 13 2018 kwaajili ya Kuwafata Gor Mahia nchinio Kenya tayari kwa Mchezo utakaochezwa July 18 nchini Kenya.

Yanga ipo mkiani mwa Kundi LAO huku Gor MAHIA na Rayon Sports wakiwa nafasi ya pili na Tatu huku USM Alger ya Algeria Ikiongoza Kundi Hilo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY