Habari Mpya na Njema kutoka Yanga jioni ya leo 24.7.2018

Habari Mpya na Njema kutoka Yanga jioni ya leo 24.7.2018

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Habari Mpya na Njema kutoka Yanga jioni ya leo 24.7.2018

Siku kadhaa baada ya Viongozi wa Juu wa Klabu ya Yanga kujiuzulu wakianza baadhi ya wajumbe wa Kwenye kamati ya Utendaji

Kisha Katibu Mkuu wa Yanga Boniface Mkwasa na Kisha kaimu mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga Yanga wamemtanzagaza Kaimu katibu Mkuu wa Yanga atayekaimu nafasi ya Boniface Mkwasa kama mtendaji mkuu wa Klabu ya Yanga.

Yanga wamemtangaza Omary Kaya kama mtu anayeenda Kukaimu nafasi ya Boniface Mkwasa aliyejiuzulu kwasababu za Kiafya.

UCHAGUZI YANGA

Wakati wadau wengi wa Yanga wakihoji kuhusu uchaguzi ndani ya Klabu hiyo kutokana na Viongozi wengi kujiuzulu hivyo kuwa na Mapengo mengi ya Kiuongozi

Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF limewaandikia Yanga barua kuwataka kuziba mapengo ya nafasi zisizo na watu.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY