Habari njema kutoka Simba asubuhi ya Leo

Habari njema kutoka Simba asubuhi ya Leo

0

Habari njema kutoka Simba asubuhi ya Leo

Siku kadhaa baada ya kocha Patrick Aussems  aliyetua nchini Tanzania ili kufanya mazungmzo na Bilionea Mo Dewji kuangalia nafasi ya Kumrithi Pierre Lechantre kuondoka Nchini inaelezwa huenda mambo yakawa mambo.

Habari za Uhakika ambazo kwataunit.co.ke imezipata kutoka Simba ni kwamba kocha huyo aliondoka nchini na kumwambia Mo Dewji aende kwanza kufikiria Juu ya Ofa aliyopewa na tayari amemjibu.

Aussems amekubali kuifundisha Simba na atatua nchini kabla ya July 17 ili kwenda na Timu nchini Uturuki kati ya July 19 na 20 kwaajili ya Kambi.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY