Habari njema Kutoka Yanga leo 12.7.2018

Habari njema Kutoka Yanga leo 12.7.2018

0

Habari njema Kutoka Yanga leo 12.7.2018

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi ya Kujiandaa na mchezo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya mchezo ambao utachezwa July 18 huko nchini Kenya.

Wakati Yanga ikijiandaa na Mazoezi hayo baddhi ya wachezaji hawakuwa na Timu huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni wachezaji hao mikataba yao kuisha.

Taarifa njema kutoka Yanga ni kwamba wachezaji hao jana wameungana na wenzao na kuanza mazoezi ya Pamoja na wenzao hali inayotafsi kuwa wameshamalizana na Uongozi na kukubaliana baadhi ya Mambo.

Wachezaji hao ni Kelvin Yondani, Juma Abdul,Beno Kakolanya, Hassan Kessy, Geofrey Mwashiuya na Andrew Vincent ‘Dante

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY