Hali si shwari ndani ya Yanga

Hali si shwari ndani ya Yanga

0

Hali si shwari ndani ya Yanga

Hali ndani ya Klabu ya Yanga si shwari sana mara baada ya Mwenyekiti wa kamati maalum ya Mpito ndani ya Yanga Tarimba Abbas kutangaza kujiondoa katika kamati.

Tarimba amejiondoa kwenye kamati hiyo kutokana na madai ya Kutoridhika na mambo yanavyoenda ndani ya Klabu ya Yanga.

Lakini Pia makamu mwenyekiti wake Said Meckysadik amesema Kuwa yeye mpaka sasa(Leo Asubuhi) hana taarifa yoyote ya Kujiuzulu kwa Mwenyekiti wake.

Kamati hiyo Iliundwa na Mwenyekiti, Makamu Saidy Meckysadik na Wajumbe wa Kamati hiyo ni Abdallah Bin Kleb, Hussein Nyika, Samuel Lukumay, Lucas Mashauri, Yusuphed Mhandeni, Hamad Islam, Makaga Yanga, Ridhiwani Kikwete, Majjid Suleiman na Hussein Ndama

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY