Haya hapa Maamuzi ya Clement Sanga kuhusu Kujiuzulu Yanga

Haya hapa Maamuzi ya Clement Sanga kuhusu Kujiuzulu Yanga

0

Haya hapa Maamuzi ya Clement Sanga kuhusu Kujiuzulu Yanga

Leo mapema zilitoka Taarifa za Kaimu mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Clement Sanga kuwa atakuwa na kikao na waandishi wa Habari.

Taarifa ni kwamba Clement Sanga ametangaza Rasmi Kujiuzulu nafasi yake ya Ukaimu Mwenyekiti wa Yanga huku sababu kubwa ambayo ameitaja ni kusambaa kwa Clip kwenye mitandao mbalimbali ya watu waliopanga kumfanyia fujo nyumbani kwake kwa mapanga

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY