Hii ndiyo Timu iliyofungiwa Miaka 2 Kushiriki Kagame

Hii ndiyo Timu iliyofungiwa Miaka 2 Kushiriki Kagame

0

Hii ndiyo Timu iliyofungiwa Miaka 2 Kushiriki Kagame

Ukisikia CECAFA wamechachamaa na hawataki Utani tena basi ndiyo hivyo mzee kwani wameachia makucha yao kutokana tu na Utovu wa Nidhamu unaoendelea.

Katika hali ambayo siyo ya kawaida timu ya Gor Mahia kutoka Kenya iligomea Kupokea medali za Mshindi wa Tatu wa Michuano hiyo.

Baada ya  Tukio hilo CECAFA imeamua Kuwapa Adhabu Gor Mahia kwa Kuwafungia Miaka 2 Kutoshiriki michuano hiyo ya CECAFA KAGAME CUP.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY