Huyu ndiye Kocha Mpya wa Simba kutoka Ubelgiji

Huyu ndiye Kocha Mpya wa Simba kutoka Ubelgiji

0

Huyu ndiye Kocha Mpya wa Simba kutoka Ubelgiji

Simba Imemleta Nchini Kocha ambaye atarithi mikoba ya Mfaransa Pierre Lechantre ambaye uongozi uliamua uachane naye baada ya Mkataba kuisha.

Kocha wasasa wa Simba ni Patrick Aussems anatoka nchini Ubelgiji na tayari ameshatua nchini huku kwa siku ya jana akiwepo uwanjani akishuhudia Simba ikitoa sare na Singida United.

Jerry Muro alivyowaponda Yanga

Kocha huyo msomaji wa Kwataunit.co.ke  ameucheza mpira lakini pia kufundisha katika vilabu mbali mbali ndani na nje ya Ubelgiji, Kacheza vilabu kama RCS Vise, Standard de Liege, K.A.A Gent, RFC Seraing na ES Troyes AC.

Huku pia kocha Patrick Aussems  akifundisha Vilabu vingi tu kama Evian Thonon Gaillard Fc, Shengdu Blades, Ac Leopards na timu ya taifa ya Nepal. Tutakupa CV Full ya Kocha Huyo baadaye.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY