Huyu ndiye mchezaji wa Simba aliyegoma kufanya mazoezi na timu

Huyu ndiye mchezaji wa Simba aliyegoma kufanya mazoezi na timu

0

Huyu ndiye mchezaji wa Simba aliyegoma kufanya mazoezi na timu

Wakati Simba wakiwa kwenye michuano ya Kagame na Wakiwa wamevuka hatua ya Makundi na sasa wanasubiri kucheza Robo Fainali kuna jambo limezuka.

Kuna Taarifa za ndani zinaeleza kuwa Kipa Said Mohammed Nduda aliyesajiliwa kutoka Mtibwa amegoma kufanya mazoezi siku ya tatu sasa.

Nduda inaelezwa kuwa amekuwa haridhishwi na nafasi anayoipata kwenye kikosi cha Simba sababu iliyomfanya kujiondoa kwenye mazoezi ya Simba kwa siku tatu sasa huku akiwa ameshatoa taarifa kwa viongozi akitaka kuzungumza nao juu ya suala hilo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY