Ichukue Hii Mpya kabisa kutoka Yanga leo 14.7.2018

Ichukue Hii Mpya kabisa kutoka Yanga leo 14.7.2018

0

Ichukue Hii Mpya kabisa kutoka Yanga leo 14.7.2018

Wakati kamati ya usajili klabu ya Yanga ikiwa imeanza kuwafurahisha mashabiki, wanachama na wapenzi wa timu hiyo leo wanatarajiwa kuwa na mchezo wa Kirafiki.

Mchezo huo ni wa pili baada ya wa Kwanza kucheza na Trans Camp mechi ikiisha kwa sare ya bao 1 kwa 1 bao la Yanga likifungwa na Ibrahim Ajib kwa Free Kick.

Yanga leo itacheza na Timu iliyopanda ligi kuu msimu Huu JKT Tanzania timu inayofundishwa na Bakari Shime “Mchawi mweusi”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY