Kabla ya dirisha Kufungwa Yanga kumsajili Huyu

Kabla ya dirisha Kufungwa Yanga kumsajili Huyu

0

Kabla ya dirisha Kufungwa Yanga kumsajili Huyu

Yanga kwasasa inaendelea kukamilisha usajili wa Nyota wake ambao walikuwepo lakini mikataba yao ilikuwa imeshakwisha kama wachezaji wa Yanga lakini walikuwa wakicheza tu kwa Ahadi.

Siku ya jana klabu ya Yanga ilifanikiwa kuwapa mikataba mipya wachezaji wake Juma Abdul na Andrew Vincent Chikupe Maarufu pia kwa Jina la “Dante”, Wachezaji hao wote wameongeza mikataba ya Kuendelea kuitumikia Yanga kwa Miaka 2.

YOUTHE ROSTAND ANATOLEWA KWA MKOPO CHUMA KIPYA KINATUA.

Katika hatua Nyingine klabu ya Yanga inaelezwa kuwa leo inamshusha kipa Mwingine ambaye aliwahi kutua nchini kufanya mazungumzo na Yanga na kisha akarejea kwao nchini Congo.

Kipa huyo ni Ley Matampi ambaye inaelezwa kuwa anatua nchini Leo kukamilisha kila kitu na Yanga huku Golikipa namba moja wa sasa Wa Yanga Youthe Rostand ikielezwa kuwa kocha Mwinyi Zahera ameonyesha kutokubali uwezo alionao Na Kuwashauri kamati ya usajili kumtoa kipa huyo kwa Mkopo hivyo basi kipa Huyo msomaji wa Kwataunit.co.ke anapelekwa Kwa Mkopo katika klabu yake ya zamani ya African Lyon ambayo imerejea Ligi Kuu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY