Kikosi cha wachezaji 18 Gor Mahia Kitakachoivaa Yanga

Kikosi cha wachezaji 18 Gor Mahia Kitakachoivaa Yanga

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Kikosi cha wachezaji 18 Gor Mahia Kitakachoivaa Yanga

Kesho July 29 2018 kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Gor Mahia mchezo wa Hatua ya Makundi kombe la Shirikisho barani Afrika.

Jumla ya wachezaji 18 na Viongozi na benchi la Ufundi 7 wamesafiri mpaka Dar Es Salaam nchini Tanzania kwaajili ya Mchezo huo.

Players:
1. Boniface Oluoch
2. Shaaban Odhoji
3. Charles Momanyi
4. Josh Onyango
5. Haron Shakava
6. Godfrey Walusimbi
7. Philemon Otieno
8. Humphrey Mieno
9. Cercidy Okeyo
10. Boniface Omondi
11. Samuel Onyango
12. Francis Kahata
13. Lawrence Juma
14. Kevin Omondi
15. Jacques Tuyisenge
16. Ephrem Guikan
17. Bernard Ondiek
18. George Odhiambo

Technical bench:
1. Kerr Dyllan
2. Zedekiah Otieno
3. Jolawi Obondo
4. Patrick Opiyo
5. Willis Ochieng
6. Fred Otieno
7. George Omondi

 

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY