Kikosi cha Yanga dhidi ya Gor Mahia 29.7.2018

Kikosi cha Yanga dhidi ya Gor Mahia 29.7.2018

0

Kikosi cha Yanga dhidi ya Gor Mahia leo 29.7.2018

Mabingwa MARA 27 wa Ligi Kuu soka ya Tanzania Bara maarufu zaidi kama Vodacom Premier Leaue (VPL) Yanga leo 29 July 2018 Inashuka Dimbani kucheza dhidi ya Gor Mahia mabingwa wa Kenya.

Yanga inashuka Dimbani kucheza na Gor Mahia ambao siku kadhaa zilizopita, July 18 2018 katika uwanja wa Kasarani nchini Kenya Yanga iliambulia Kichapo cha mabao 4 kwa 0 Kutoka Kwa Gor Mahia (K’Ogalo) kwa hiyo leo wanacheza kuhakikisha Wanalipa Kisasi mbele ya Gor Mahia.

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA GOR MAHIA LEO 29.7.2018

Youthe Rostand

Juma Abdul

Gadiel Michael

Vincent Andrew

Shaibu Ninja

Papy Tshishimbi

Daudi Raphael

Buswita Pius

Matheo Anthony

Mhilu Yusuph

Kaseke Deus

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY