Kikosi cha Yanga kinachoenda Kenya kuwavaa Gor Mahia

Kikosi cha Yanga kinachoenda Kenya kuwavaa Gor Mahia

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Kikosi cha Yanga kinachoenda Kenya kuwavaa Gor Mahia

Yanga leo inakwea pipa kuwafata Gor Mahia ya Nchini Kenya kucheza mchezo wa Hatua ya Makundi kombe la Shirikisho barani Afrika.

Kikosi cha wachezaji wa Yanga walioenda nchini Kenya ni Makipa Youthe Rostand, Beno Kakolanya

Mabeki : Juma Abdul, Haji Mwinyi, Gadiel Michael, Shaibu Abdallah Ninja, Andrew Vincent, Said Makapu na Pato Ngonyani.

Wengine : Papy Tshishimbi, Emmanuel Martin, Geofrey Mwashiuya, Amis Tambwe, Juma Mahadhi, Pius Buswita, Said Mussa, Ibrahim Ajibu, Yohanna Mkomola.

Matheo Antony anahatihati ya kwenda au kutokwenda huku raphael Daud akitajwa kuwa na Kadi 2 za Njano, hivyo naye ataungana na wachezaji ambao hawataenda.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY