Kikosi cha zaidi ya wachezaji 30 walichotoa Yanga 2018/2019

Kikosi cha zaidi ya wachezaji 30 walichotoa Yanga 2018/2019

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Kikosi cha zaidi ya wachezaji 30 walichotoa Yanga 2018/2019

Ukiachana na Taarifa za awali za baadhi ya wachezaji wa Yanga kutolewa kwa mkopo na wengine kuachwa baada ya mikataba kumalizika Yanga wamekuja na majina zaidi ya 30, Takribani 34 kama ndiyo Kikosi chao 2018/2019.

MAKIPA

 1. Youthe Rostand
 2. Ramadhan Kabwili
 3. Beno Kakolanya
 4. Klaus Kindoki

Kikosi cha Simba msimu 2018/2019

WALINZI

 1. Juma Abdul
 2. Haji mwinyi
 3. Gadiel Michael
 4. Kelvin Yondani
 5. Andrew Vincent
 6. Abdallah Shaibu
 7. Cleofas Sospeter

 

 

VIUNGO

 1. Papy Kabamba
 2. Thaban Kamusoko
 3. Jaffar Mohammed
 4. Raphael Daud
 5. Maka Edward
 6. Said Makapu
 7. Feisal Salum
 8. Deus Kaseke
 9. Emmanuel Martin
 10. Juma Mahadhi
 11. Pato Ngonyani
 12. Paul Godfrey
 13. Pius Buswita
 14. Mohammed Issa “Banka”

Washambuliaji

 1. Matheo Anthony
 2. Mrisho Ngassa
 3. Amisi Tambwe
 4. Ibrahim Ajibu
 5. Heritier Makambo
 6. Yusuph Mhilu
 7. Yahya Akilimali
 8. Siad Mussa
 9. Yohana Nkomola.
Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY