Kimeeleweka : Wachezaji hawa wanne sasa ni mali ya Yanga

Kimeeleweka : Wachezaji hawa wanne sasa ni mali ya Yanga

0

Kimeeleweka : Wachezaji hawa wanne sasa ni mali ya Yanga

Wakati Yanga ikiwa inaelezwa wanafanya usajili wao kimya Kimya lakini Taarifa zimekuwa tukizipata juu ya Kile kinachoendelea kwa kupenyezewa Taarifa na baadhi ya watu wa Karibu.

Taarifa za Kuaminika kutoka Yanga ni Kwamba majina ya Wachezaji wanne wa Yanga waliokuwa wakifanyiwa majaribio tayari yamepitishwa na Kocha Mwinyi Zahera raia wa Congo.

Wachezaji ambao inaelezwa kuwa tayari kocha kawapendekeza ni Mrisho Ngassa, Jaffar Mohammed kutoka Maji Maji Heritier Makambo kutoka Nchini Congo na Mnigeria Emeka Emerun

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY