Kiungo mpya wa Simba Cletous Chama bado anamkataba na timu aliyotoka, Mwenyewe...

Kiungo mpya wa Simba Cletous Chama bado anamkataba na timu aliyotoka, Mwenyewe asema haya

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Kiungo mpya wa Simba Cletous Chama bado anamkataba na timu aliyotoka, Mwenyewe asema haya

Wakati washabiki wa Klabu ya Simba leo wakiwa wameamka na habari ya Klabu yao Kumnasa Kiungo kutoka Zambia Cletous Chama kutoka Lusaka  Dynamos.

Kiungo huyo Cletous Chama  wa kati ambaye ni kweli bado anamkataba na klabu yake ya Lusaka Dynamos amefunguka na Kusema kila kitu na timu yake.

Cletous Chama ameweka wazi kuwa bado anamkataba na Timu yake wa miezi 6  lakini kulingana na Makubaliano yaliyopo kwenye mkataba kutokulipwa Mshahara kwa miezi 3 kunamruhusu kuvunja mkataba.

Cletous Chama amefunga na Kusema amevunja mkataba na Dynamous Lusaka baada ya Kutolipwa mshahara wa miezi 4.

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY