Kocha mpya aliyetua Yanga huyu Hapa

Kocha mpya aliyetua Yanga huyu Hapa

0

Kocha mpya aliyetua Yanga huyu Hapa

Wakati watu wakiendelea kuamini kuwa klabu ya Yanga imechoka na haiwezi kufanya Lolote linalohusiana na masuala ya kifedha basi wao wameendelea kuwaaminisha watu kuwa wanasonga hata kwa hali mbaya waliyonayo.

Klabu ya Yanga siku ya jana msomaji wa Kwataunit.co.ke imefanikiwa kumleta nchini Tanzania kocha Mpya wa Makipa wa Timu ya Yanga.

Yanga imefanikiwa kumrejesha kocha wapo wa zamani wa Makipa Razack Siwa ambaye  ni raia wa Kenya na Kabla ya Kurejea nchini alikuwa kocha wa Makipa katika klabu ya Bandari ya Kenya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY