Mabadiliko ya Muda : Simba vs Azam Fc 13.7.2018

Mabadiliko ya Muda : Simba vs Azam Fc 13.7.2018

0

Mabadiliko ya Muda : Simba vs Azam Fc 13.7.2018

Msomaji wa Kwataunit.co.ke awali tulikuandikia kuwa mchezo wa fainali kati ya Simba na Azam utaanza majira ya saa kumi alasiri lakini mchezo huo Utaanza saa kumi na Mbili Jioni muda wa Afrika Mashariki.

Mechi Itakayoanza saa tisa ni mechi kati ya JKU na Gor Mahia mechi ya Kutafuta Nshindi wa Tatu.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY