Matokeo AFC Leopards vs Gor Mahia 22.7.2018

Matokeo AFC Leopards vs Gor Mahia 22.7.2018

0

Matokeo AFC Leopards vs Gor Mahia 22.7.2018

Matokeo ya Mechi ya Derby ya Mashemeji kati ya AFC Leopards dhidi ya Gor Mahia mechi ikichezw uwanja wa Kasarani Jijini Nairobi Kenya.

Mechi Imeanza katika uwanja wa Kasarani

AFC Leopards 0 – 0 Gor Mahia

Dakika 10 Zimekatika matokeo yakiwa Bado ni 0 kwa 0 Gor Mahia wanaonekana wakimiliki na Kutengeneza nafasi nyingi kuliko AFC Leopards , AFC Leopards vs Gor Mahia  22.7.2018

Dakika 15, AFC Leopards vs Gor Mahia

AFC Leopards 0 – 0 Gor Mahia

Dakika ya 17 Gor Mahia wanapata Kona baada ya Kuchachafya ngome ya AFC Leopards

Goaaaaaaaaaal Jack Tuyisenge anaipatia Gor Mahia bao la Kuongoza baada ya Makosa ya Beki kurudisha Mpira Mfupi kwa KIPA, Tuyisenge anawahi na Kufunga bao

Dakika ya 25, AFC Leopards vs Gor Mahia

Gor Mahia wanaendelea kumiliki zaidi Kabumbu kuliko AFC Leopards ambao wamekaa nyumba wakiwaacha Gor Kumiliki Mpira

AFC Leopards 0 – 1 Gor Mahia

Dakika 30 zimekatika Katika uwanja wa Kasarani, Gor Mahia wakiwa bado wanaongoza kwa bao bao 1 bao la jack Tuyisenge

Dakika ya 40 Gor Mahia wanashambulia tena na Kupata Kona

AFC Leopards 0 -1 Gor Mahia

Dakika ya 43 AFC Leopards wamapata Free Kick karibu na Lano la Gor Mahia, Unapigwa Mpira kipa anadaka

Goaaaaaal dakika ya 44  Isuza anaipatia bao AFC Leopards sasa Dearby imekucha, AFC Leopards 1 – 1 Gor Mahia

HALF TIME

AFC Leopards 1 – 1 Gor Mahia (Tuyisenge, Isuza)

KIPINDI CHA PILI

Goaaaaal dakika ya 53 George Odhiambo anaipatia Gor Mahia bao la Pili

AFC Leopards 1 – 2 Gor Mahia

Dakika ya 60

AFC Leopards 1 – 2 Gor Mahia

Dakika ya 75

Bado Gor Mahia wapo mbele kwa mabao 2 dhidi ya 1 la AFC Leopards

Dakika ya 85

AFC Leopards 1 – 2 Gor Mahia

FULL TIME

AFC Leopards 1 – 2 Gor Mahia

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY