Matokeo Azam Fc vs JKU Kagame Cup 4 July 2018

Matokeo Azam Fc vs JKU Kagame Cup 4 July 2018

0

Matokeo Azam Fc vs JKU Kagame Cup 4 July 2018

Timu ya Azam Fc imefanikiwa kupata ushindi wa bao 2 kwa 1 wakicheza dhidi ya JKU kutoka Zanzibar Kagame Cup 2018.

Mabao ya Azam Fc yamewekwa Kimyani na Ditram Nchimbi na Frank Domayo wakati bao la JKU likifungwa na Swedi Juma.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY