Matokeo Azam Fc vs Rayon Sports Kagame 9 July 2018

Matokeo Azam Fc vs Rayon Sports Kagame 9 July 2018

0

Matokeo Azam Fc vs Rayon Sports Kagame 9 July 2018

KIPINDI CHA KWANZA

Kipindi cha Kwanza cha Mchezo kati ya Azam Fc na Rayon Sports mchezo wa Robo Fainali Kagame Cup 2018 kimemalizika kwa Azam Fc kuongoza kwa mabao 3 kwa 1.

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 65 Kwa mara Nyingine Shaban Iddi Chilunda anaipatia Azam Fc bao la nne la Mchezo na bao lake la Nne katika mchezo wa Leo.

 

Dakika ya 67 Anatoka Chilunda mfungaji wa mabao manne anaingia Sure Boy

 

Dakika ya 76 anaingia Mbaraka Yusuph Abeid anatoka Joseph Mahundi

Dakika ya 77

Azam 4 – 1 Rayon Sports

Goaaaal Dakika ya 81 Rayon Sports wanaandika bao la Pili

Azam Fc 4 – 2 Rayon Sports

FULL TIME

Azam Sports 4 – 2 Rayon Sports ( magoli yote ya azam yamefungwa na Shaaban Idd Chilunda)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY